Mfuko utapata mapato yake kupitia taasisi au mtu binafsi kupitia vyanzo hivyo.
- Michango ya wanachama
- Kodi maalumu
- Ruzuku kutoka Serikalini
- Misaada kutoka Washirika wa Maendeleo, Taasisi zisizo za Kiserikali, Kampuni Binafsi na Watu wenye Uwezo.